2012-2013 budget should have read like this:
: Government to find a way of filling Vaseline to the
top, hako ka doido ka hapo juu ni ufala!!
: Hiyo Shimo ya Donut itolewe, ata ikuangi Tamu
: Watoe pellet moja ya PK ibaki 5 bob
: Unga ya Jogoo ikue na flavour ya Kuku. Ata ukikula
... na sukuma si mbaya sana. : Ile Space iko kwa mayai Ijazwe, Hewa haikuliwi
: Bei ya vako iongezwe. Wale watu ukulanga vako
hapo jobless corner wamekua wengi
: Bei ya makeup ipandishwe so we know who's real
or fake.
:Bamba 20 iuzwe 19 bob ndo tukuwe na Bob ya Kuscratch.
: Presidential Motorcate ireplaciwe na Citi-Hoppa